WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA KAMATI KUCHUNGUZA MOTO SOKO LA KARIAKOO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo, Julai 27, 2021 amepokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa tukio la moto uliyotokea katika Soko la Kimataifa la Kariakoo tarehe 10 Julai, 2021 jijini Dar es salaam. Mhe. Kassim Majaliwa amepokea taarifa hiyo kutoka kwa mwenyekiti wa Kamati hayo, CP Liberati Sabas na kuahihidi kuwa serikali itayafanyia kazi mapendekezo